Meli ya jeshi la Marekani ilikumbwa na uharibfui kidogo baada ya kugongana na chombo kingini cha Japan pwani ya Japan. Chombo hicho cha kibias…
Ushindi wa goli 1-0 ilioupata timu ya Singida United dhidi ya Lipuli unaifanya timu hiyo ya mkoani Singida kufikisha pointi 17 sawa na Yanga pam…
Waumini wa dini ya Kiislam wa Msikiti wa Noor uliopo katika Kijiji cha Mkange, Miono, Wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani ,wamemshukuru Rais wa Jamhu…
Mkuu wa Kitengo cha Biashara Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa,Thomas William akizungumza na kipindi cha Hello Tanzania cha Uhuru FM,kuhusu zoezi …
Serikali ya Afrika Kusini imesema Rais Robert Mugabe amekutana na wajumbe kutoka nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika( Sadc) katika juhu…
Mwanamuziki na Muigizaji nchini, Patcho Mwamba ameifungukia kauli ya Mama Kanumba ya kushukuru kitendo cha Muigizaji Lulu kufungwa miaka miwili kw…
Bwana Yesu Asifiwe , jina langu ninaitwa Winnie, mkaazi wa wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani. Kwa sasa nimeokoka na kumpokea Yesu kama Bwana na Mw…
Serikali iko katika mchakato wa maandalizi ya muswada wa sheria ambayo itasimamia sekta ya nyumba, hivyo kuondoa changamoto ya wamiliki kudai kodi…
Profesa Kitila Mkumbo amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM), taarifa ya Prof. Mkumbo kujiunga CCM imetolewa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida, M…
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe amesema kuwa aliyekuwa mwanachama wao, Lawrence Masha hakuwa na msaada wowo…
Waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa amemtumia ‘salamu’ Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwamba gharama za kuandaa Katiba Mpya si kubwa ukilinganisha …
Shirika la Ndege la Coastal (Coastal Aviation) katika taarifa yake kuhusu ajali ya ndege iliyotokea jana asubuhi limesema kuwa watu wote 11 walioku…
Rais Dk John Magufuli ameagiza Wakala wa Barabara nchini TANROADS Mkoa wa Dar es Salaam kuvunja sehemu ya jengo la TANESCO na jengo la Wizara ya …
Baadhi ya wabunge na viongozi wa CHADEMA wametoa maoni yao baada ya mwanachama wao Lawrence Masha kujivua uanachama na kujibu tuhuma alizozitoa zi…
Wakazi wa Kata ya Moita wameombwa kumchagua mgombea wa CCM ili wapate maendeleo na kuachana na ahadi alizowapa, Waziri Mkuu mstaafu na mjumbe wa k…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Mtoto wa Marehemu Chacha Wangwe ambae alikua Mbunge wa Tarime, Bob Chacha Wangwe kifungo cha mwak…
Jeshi la Zimbabwe limesoma taarifa kwenye kituo cha runinga cha serikali ZBC, likisema kuwa linachukua hatua ya kuwalenga wahalifu. Hata hivyo…
Hali ya sintofahamu imejitokeza katika jiji la Harare baada ya vifaru kuonekana vikielekea mjini ambako vilitumika kufunga barabara kubwa za kuing…
Aliyekuwa mwanachama CCM, ambaye baadaye alihamia Chadema, Lawrance Masha amejivua uanachama katika chama hicho akidai upinzani wa sasa umeridhika…
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefikia uamuzi wa kumuachia Dk Louis Shika ‘bilionea wa nyumba za Lugumi’ baada ya kutimiza mashar…
Social Media