
Kwa watu
ambao wamekonda na kudhoofu mwili kwa sababu ya maradhi mbalimbali na wanataka
kurejesha afya zao katika hali ya kawaida, wanashauriwa kutumia dawa za asili
na vyakula mbalimbali ambavyo husaidia kuurejesha mwili katika hali yake ya
kawaida.
Dawa-lishe
ya kuongeza, kurutubisha na kunenepesha mwili, ni dawa maalumu kwa watu wenye
uzito wa chini ( Under weight ) ambao wanataka kuongeza mwili na uzito.
Dawa hii
huwasaidia watu ambao miili yao imedhoofu kutokana na sababu mbalimbali kama
vile kuugua magonjwa na maradhi mbalimbali.
Na kwa wale
watu wembamba ambao wanataka kuongeza miili yao, dawa hii huwasaidia vizuri
sana.
MAHITAJI YA
DAWA –LISHE
i. Dawa
–lishe vijiko viwili vikubwa.
ii.Asali ya
tende vijiko vitano vikubwa.
iii.
Tangawizi ya unga vijiko vikubwa viwili
iv. Unga wa
ufuta
v.Maziwa
fresh nusu lita
vi.Maji ya
moto kiasi cha milimita mia mbili na hamsini ( 250 mills )
MATAYARISHO
i. Chukua
vijiko vinne vyenye dawa lishe yako kisha chemsha na nusu lita ya maji hadi
mchanganyiko wako utokote halafu ipua, chuja , makapi weka pembeni kisha
hifadhi juisi yako.
ii.Tayarisha
uji kwa kutumia unga wa ufuta na maziwa fresh
iii.Chukua
vijiko viwili vikubwa vya tangawizi ya unga kisha changanya kwenye kikombe cha
maji ya moto chenye ujazo wa milimita mia mbili hamsini ( 250 mills )
MATUMIZI:
i.Tumia
kunywa nusu lita ya dawa –lishe yako kisha
ii.Tumia
kula vijiko vinne vikubwa vya asali ya tende
iii.Kisha
tumia kunywa vikombe vinne vya uji wa ufuta ulio changanywa na maziwa fresh
iv.Halafu
kunywa glasi moja ya moto iliyo changanywa na vijiko viwili vikubwa vya
tangawizi ya unga.
UTAFANYA
HIVYO MARA MBILI KWA SIKU KWA MUDA WA SIKU THELATHINI MFULULIZO.
Baada ya
siku thelathini, utaangalia na kujitathmini kiasi ulicho ongezeka. Kama utataka
kuendelea kuongezeka zaidi, utaendelea kutumia dozi hii hadi hapo utakapo fikia
kiwango utakacho rizika nacho.
SUPU YA
ULIMI WA N'GOMBE. N.B : KAMA UTAWEZA UNASHAURIWA PIA, KUWA UNATUMIA SUPU YA
ULIMI WA N'GOMBE MARA KWA SIKU KWA KADRI UTAKAVYO WEZA. HII KWA SABABU ULIMI WA
N'GOMBE UNATAJWA KUWA NA KIASI KIKUBWA CHA PROTINI ITOKANAYO NA WANYAMA AMBAYO
INATAJWA KUWA MUHIMU SANA KATIKA UKUAJI WA MISULI YA SEHEMU MBALIMBALI ZA
MWILI.
JINSI YA
KUTUMIA SUPU YA ULIMI WA N'GOMBE KATIKA LISHE YA KUNENEPESHA MWILI
Muhitaji
anashauriwa kutumia walau robo kilo au nusu kilo ya supu ya ulimi wa n'gombe
kwa siku. Ni nzuri sana kwa mtu anae tumia dawa lishe ya kunenepesha mwili. Hata
hivyo unashauriwa kutokutumia supu hii kwa wingi kwani inaweza kuzidisha
kiwango cha lehemu (cholestrol) mwilini. Unashauriwa kutumia kwa busara pamoja
na vitu vilivyo orodheshwa hapo juu, yaani Dawa Lishe, Asali ya Tende na Uji wa
Ufuta.
=======================================
JINSI YA
KUIPATA DAWA LISHE:
Dawa hii
inapatikana katiuka duka la dawa asilia la NEEMA HERBALIST & NUTRITIONAL
FOODS CLINIC lililopo jijini DAR ES SALAAN katika eneo la TABATA MAKOKA karibu
na SHULE YA SEKONDARI YA MT. ANNUARITE.
Unaweza
kufika moja kwa moja katika ofisi zetu AU unaweza kuletewa mahali popote ulipo
jijini Dar Es salaam.

0 Comments