Unaambiwa Taifa Stars wamejipanga kweli kuhakikisha
wanaondoka na alama kwenye mchezo kati yao na Uganda mchezo utakaofanyika
jumamosi hii katika uwanja wa Mandela uliopo Namboole.
Mara baada ya kuwasili nchini Uganda katika uwanja wa Ndege
wa Entembe Walitokea viongozi kutoka chama cha soka cha Uganda FUFA kwaajili ya
Kuwapokea Taifa Stars na wakiwaambia kuna hoteli ambayo wamewaandalia
Lakini Taifa Stars kwa kutambua kuwa inaweza kuwa ni hujuma
wakachomoa huduma za wageni wao na kwenda kwenye hoteli nyingine kabisa tofauti
na waliyoandaliwa.
0 Comments