Mbunge wa jimbo la Ubungo Saed Kubenea amevitaka vikundi vinavyodaiwa kuwa vya CCM vinavyozunguka kuandikisha vitambulisho vya watu kuacha mara moj…
Viongozi 17 wa ACT- WAZALENDO na 19 wa CHADEMA wa ngazi mbalimbali wakiwemo wajumbe wa Kamati kuu, Wenyeviti na Makatibu wa mikoa, wilaya na kata k…
Mwenyekiti wa Umoja wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Kheir James, amesema wakati wa kufanya kazi kwa woga ndani ya umoja huo umepitwa na wakat…
Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Siha ambaye pia ni diwani wa Gararagua, Zakaria Lukumay amejiuzulu uanachama wa (Chadema) na kujiunga na CCM. Luk…
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Mwekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amewataka viongozi wa chama kutosita kuwajadil…
Vigogo wa Chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (Shirecu), wa Chama cha Ushirika mkoa wa Mwanza (Nyanza) wameponea chupuchupu kuwekwa ndani na Wazir…
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu amefunguka na kusema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hawawezi kulikomboa jimbo la Mbeya Mjin…
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeeleza kuwa inawashangaa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanaosema kuwa hawamtambui mgombea wa …
Mbunge wa Vunjo (NCCR-Mageuzi), James Mbatia amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC mjini Moshi baada ya kuvunjika mkono. Mbatia ambaye pia n…
Diwani wa Chadema wa Donyomurwak wilayani Siha mkoani Kilimanjaro, Lwite Ndossi maarufu Nsonuu amejivua uanachama wa chama hicho. Pia, amejiuzuru…
Aliyekuwa Mbunge Kinondoni (CUF), Maulid Mtulia ambaye amehamia CCM ametangaza nia ya kugombea tena ubunge katika jimbo hilo kwa tiketi ya chama hi…
Hizi ni baadhi ya picha za matukio mbalimbali yaliyotokea katika mkutano Mkuu wa 9 wa CCM uliokuwa ukiendelea mjini Dodoma,Ambapo kulikuwa na mchaka…
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) amesikika asubuhi hii wakati akihojiwa na Radio Clouds Fm kwenye kipindi cha Power Breakfast, akisema…
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa orodha ya wanachama 15 wa vyama vya siasa walioteuliwa kugombea ubunge katika majimbo ya Singida Kaskazini n…
Msanii wa nyimbo za Injili aliyetamba kwa vibao vyake murua na vyenye kuburudisha Rose Muhando, ametangaza kujunga rasmi na Chama cha Mapinduzi. …
Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana leo ameteuliwa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Rais John Pombe Magufuli kuendelea kuwa k…
Baada ya mchakato mrefu wa kura za maoni katika majimbo matatu yaliyokuwa yameachwa wazi likiwemo jimbo la Singida Kaskazini lililokuwa linashikili…
Katibu wa itikadi na uenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Humphrey Polepole amevipiga kijembe vyama vya upinzani akimtaka mwenyekiti wa moja ya …
Mbunge wa Chadema, Upendo Peneza amezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya mbunge huyo kuitisha mkutano na waandishi wa habari bila kueleza …
Social Media