Baada ya
mchakato mrefu wa kura za maoni katika majimbo matatu yaliyokuwa yameachwa wazi
likiwemo jimbo la Singida Kaskazini lililokuwa linashikiliwa Mhe. Lazaro
Nyalandu, Hatimaye Chama cha Mapinduzi tayari kimetangaza majina matatu ya
wagombea watakaosimama kuwania Ubunge kwenye majimbo hayo.
0 Comments