GodwinGondwe Mkuu Mpya wa Wilaya Singida Rais waJamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemhamisha kituo chakazi aliyekuwa Mkuu…
MKALAMAWAZINDUA CHANJO YA SURUA Mkuu wa Wilaya ya Mkalama , Moses Machali amewataka wazazi wilayani Mkalama kuhakikisha wanapeleka watoto wao k…
KATIBU WA CCM KATA YA MANDEWA ( YUSUPH KIJANGA MAKERA) AKIWA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI KATA YA MANDEWA. YUSUPH KIJANGA MAKERA Akiwa …
Mkoa wa Singida umejipanga kuongeza eneo la uzalishaji wa Alizeti kutoka ekari 631,931 mpaka kufikia ekari Milioni moja (1,000,000) kwa kutumia wak…
MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu amechangia mjadala wa hotuba ya Waziri Mkuu ya 2023/2024,na kutoa ombi la kubadili majina ya majimbo ya …
PICHA HAPO JUU NI MWENYEKITI MSAIDIZI WA UMOJA WA MAKANISA AKIONGOZA UTAMBULISHO PICHA HAPO JUU NI MAANDAMANO KUELEKEA UKUMBI WA ROMA SINGIDA MJI…
WANACHUO LAURENT VTC- SINGIDA WALIPOTEMBELEA KITUO CHA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU KILICHOPO SINGIDA MJINI.
Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu ametoka Hospitali ya Nairobi nchini Kenya leo Jumamosi asubuhi kwenda nchini Ubeljiji kwa matiba…
Mafanikio ni hali ambayo kila mtu anapenda kuwa nayo na kuyafikia kila mara. Mafanikio humfanya mtu afarijike, ajisikie yuko salama, afurahi na ku…
SIMBA SC imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Mwenge SC ya Pemba katika mchezo wake wa kwanza wa Kundi A, Kombe la Mapinduzi jion…
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Rehema Nchimbi, ameonya kuwa watu watakaovuruga mikutano ya kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Singida Kaska…
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Antiphas Lissu amekiri kwamba hatakuja kusahau tukio la mkazi wa Iringa aliyekwenda hospitali Nairobui alikolazw…
Serikali imekifungia Kiwanda cha kukamua mafuta cha Alizeti Mount Meru Millers Ltd muda usiojulikana kwa madai ya kukaidi agizo la kulipa faini ya …
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Juma Kilimba amepata ajali ya gari lake kupinduka leo akiwa na familia yake, wamepelekwa katika hospital ya Wila…
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Singida inamshikilia mshindi wa kwanza kura za maoni CCM jimbo la Singida kaskazini, Ha…
Mkuu wa mkoa wa singida (Rehema Nchimbi) akisalimiana na wageni wengine katika siku ya wiki ya usalama barabarani iliyofanyika katika viwanja vya …
Moja ya banda lililoko katika niwanja vya stendi ya zamani singida mjini katika maadhimisho ya wiki ya usalama barabarani ambayo kimkoa imefanyika…
HAPA NI SINGIDA KATIKA KIWANJA CHA PEOPLES LILIPOFANYIKA JIWE LA MWEZI KATIKA KUMPATIA ALIKIBA CHETI CHA JIWE LA MWEZI LEO. ENDELEA KUTE…
Chuo Kikuu Huria pekee kimepewa ruhusa ya kuendelea kutoa kozi ya Foundation iliyokuwa imesitishwa na serikali kwa wanafunzi ambao wamekosa vigezo …
MKUU WA CHUO CHA VETA SINGIDA Akiwa na mgeni Rasmi katika sherehe ya kuhitimu wanachuo wa mwaka wa pili katika chuo cha VETA -singida sherehe il…
Social Media