MKUU WA CHUO CHA VETA SINGIDA
Akiwa na mgeni Rasmi katika sherehe ya kuhitimu wanachuo wa mwaka wa pili katika chuo cha VETA -singida sherehe iliyofanyika leo katika ukumbi wa VETA singida, pembeni ni mratibu wa mafunzo katika chuo cha VETA singida.
Hawa ni baadhi ya walimu wa chuo cha VETA singida, wakiwa katika sherehe ya kuwaaga wanachuo wa mwaka wa pili, katika ukumbi wa VETA singida.
0 Comments