Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Singida, Juma Kilimba amepata ajali ya gari lake kupinduka leo
akiwa na familia yake, wamepelekwa katika hospital ya Wilaya ya Kiomboi kwa
ajili ya matibabu.
Mke wake na
watoto wawili wamepewa rufaa, lakini yeye na wanae wengine wawili wapo
Hospitali ya Wilaya Kiomboi. Mtoto mmoja hawezi kusafirishwa sababu hali yake
sio nzuri.
Taarifa
zaidi endelea kutembelea mtandao huu
0 Comments