Follow us

maonyesho ya wiki ya usalama barabarani yafanyika singida mjini.

Tangazo
Moja ya banda lililoko katika niwanja vya stendi ya zamani singida mjini katika maadhimisho ya wiki ya usalama barabarani ambayo kimkoa imefanyika singida mjini katika viwanja vya stend ya zamani.
wanafunzi wa shule za msingi wakiwa katika maonyesho ya maadhimisho ya wiki ya usalama barabarani yaliyofanyika katika viwanja wa stendi ya zamani singida mjini.



Post a Comment

0 Comments