Mabingwa wa Tanzania, Yanga S c wamefufua matumaini ya kwenda Robó Fainali ya Mabingwa Afrika kufuatia ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Medeama ya Gha…
Kocha Mkuu wa Yanga Sc, Miguel Gamondi amesema kila mchezaji aliye ndani ya kikosi cha Yanga Sc ana umuhimu na ubora, huku akisisitiza kuwa mchezo …
Na Elinipa Lupembe. Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Damian Ndumbaro (MB), ameziagiza Taasisi na Mamlaka za Serikali kusogeza…
Simba Sc imeweka Matumaini ya kutinga hatua ya Robo Fainali ya Michuano ya Klabu Bingwa Afrika baada ya kuichapa mabao 2_0 Wydad Casablanca mchezo …
Mchambuzi maarufu wa soka, Mwalimu Alex Kashasha amefariki dunia leo Agosti 19, 2021 akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Sal…
Waandalizi wa michuano ya kombe la mataifa ya Akrika Misri waliorodheshwa katika kundi zuri ambalo huenda likawapendelea lakini mabingwa wengine k…
Barcelona imesema iko tayari kupokea ofa ya kumnunua kiungo wao wa kati Philippe Coutinho, 26. Manchester United imeonesha nia ya kumsaini mch…
N’Golo Kante amesaini mkataba mpya na Chelsea ambao utakuwa ni wa miaka mitano. Mkataba huo mpya na Chelsea, utamuwezesha Kante kuwa anachopa …
Mchezaji wa kiungo cha mbele wa Liverpool na timu ya taifa ya Senegal Sadio Mane amekubali mkataba wa muda mrefu kuendelea kucheza Anfield. Mc…
Aliyekuwa ‘scout’ wa klabu ya Chelsea, Daniel Boga amesema kuwa mama mzazi wa nyota wa Paris Saint-Germain, Kylian Mbappe ndiye aliyesababisha…
Simba SC forward Nicholas Gyan has fired a salvo at Asante Kotoko ahead their international friendly clash. The Tanzanian champions have i…
Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amezindua rasmi albamu yake mpya ‘A Boy From Tandale’ jijini Nairobi na kufanya bonge la shoo akiwa na tim…
TIMU za Coastal Union ya Tanga na KMC ya Kinondoni, Dar es Salaam zimefanikiwa kupanda Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao baada ya kushin…
Ni rahisi sana kwa shabiki kindakindaki wa mpira wa miguu kuwa mchawi katika maisha halisi kuliko shabiki kindaki ndaki wa muziki. Hii ni kwa sab…
Muimbaji nguli wa muziki wa dance, Nguza Viking maarufu kama Babu Seya pamoja na mwanae, Papii Kocha wameanza maandalizi ya ujio wao mpya, ikiwa ni…
Social Media