
N’Golo Kante amesaini mkataba mpya na Chelsea ambao utakuwa
ni wa miaka mitano.
Mkataba huo mpya na Chelsea, utamuwezesha Kante kuwa
anachopa pauni 290,000 kila wiki.

Hivi karibuni, ilielezwa Kante alizungumza na uongozi wa
Chelsea na kuuthibitishia kubaki lakini akaomba alipwe mshahara wa kawaida
kabisa.
Kante mwenye umri wa miaka 27, alionekana kuishitua Chelsea
baada ya klabu kutoka nchini kwao Ufaransa ya PSG kuonyesha nia ya kumrejesha
nchini humo.


0 Comments