
Msanii wa
Bongo Fleva, Diamond Platnumz amezindua rasmi albamu yake mpya ‘A Boy From
Tandale’ jijini Nairobi na kufanya bonge la shoo akiwa na timu nzima ya WCB.
Mbali na
WCB, wasanii wengine waliopada jukwaani na kutikisa katika shoo hiyo, ni msanii
wa Marekani, Omario.
Albamu mpya
ya Diamond imesheheni ngoma 20 kali zikiwemo alizowahi kuzitoa kipindi cha
nyuma na nyingine mpya.



0 Comments