Follow us

Mchambuzi wa Soka Mwalimu Kashasha afariki Dunia

Tangazo


Mchambuzi maarufu wa soka, Mwalimu Alex Kashasha amefariki dunia leo Agosti 19, 2021 akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam. Kashasha alikuwa mtumishi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC1) hadi umauti ulipomfika.

Post a Comment

0 Comments