NYANGUMI WA BLUU AU the blue whale ni mnyama aishie baharini na ana urefu wa mita 30 na uzito wa kilo hadi 201,000 au tani 210 na zaidi,ni mnyama mkubwa na mzito kuliko yeyote aliyewahi kutokea duniani.
HAYA NI MAMBO MATANO UNATAKIWA UYAJUE KUHUSIANA NA MNYAMA
HUYU mkubwa duniani.
2:NYANGUMI WA BLUE hula zaidi wanyama wadogo wa baharini
wanaoitwa KRILL_na nyangumi mmoja hula zaidi ya Krill milioni 40 kwa siku_hivyo
inabidi waishi katika maendeo yenye msongamamo mkubwa wa wanyama hao
3:NYANGUMI JIKE HUZAA MTOTO MMOJA KILA BAADA YA miaka miwili
au Mitatu…na motto wa nyangumi akizaliwa huwa na uzito wa tani 3 na urefu wa
mita 7_na hunyonya maziwa ya mama yake lita 500 na zaidi au gallon 150 kwa siku
4:Wanasayansi wanakadiria kuwa NYANGUMI WA BLUE huishi hadi miaka miaka 80
5:UZITO WA ULIMI wa nyangumi wa blue ni sawa na uzito wa
tembo mmoja
0 Comments