DUBE ATOA MADAI MAZITO KWA VIONGOZI WA AZAM FC
“Nahitaji
kuchezea timu ambayo wachezaji na viongozi wana lengo moja. Viongozi wako Azam,
lakini mioyo yao iko kwenye timu zingine wanazozisapoti, hizo timu zikishinda
wanafurahia.
“Siwezi kuwa
kwenye timu ambayo wewe unataka kushinda kitu lakini watu ambao wanawaongoza
wanasapoti timu mnayoshindana nayo, ndiyo maana nataka mabadiliko niwe sehemu
ambayo watu wanaowaongoza mnafikiria kitu kimoja” – Prince Dube.
0 Comments