Ukosefu
na/ama upungufu wa nguvu za kiume, ni tatizo linalo wakabili mamilioni ya
wanaume duniani.
Tatizo la
ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume ni nini ?
Ukosefu ama
upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya
tendo la ndoa kwa ukamilifu
HATUA MBILI
MUHIMU KATIKA KUSIMAMA KWA UUME
Ili mwanaume
aweze kufanya tendo la ndoa na andelee kufanya tendo la ndoa, ni lazima uume
wake upitie hatua kuu mbili kama ifuatavyo :
Hatua ya
kwanza, ni lazima uume wake uweze kusimama barabara na kuwa mgumu kama msumari.
Na hatua ya
pili ni lazima, uume wake uendelee kusimama kwa muda mrefu wakati wa tendo la
ndoa. Hatua zote mbili zinapo kamilika, ndipo tunapo pata kitu kinaitwa
STRONGER AND LONGER ERECTION
JINSI HATUA
ZA KUSIMAMA KWA UUME ZINAVYO TOKEA.
1. HATUA YA
KWANZA:
DAMU
KUTIRIRIKA KWA KASI KUINGIA NDANI YA MISHIPA YA UUME NA KUUFANYA UUME KUSIMAMA
NA KUWA MGUMU.
Unapopata
wazo la kufanya tendo la ndoa, mishipa ya fahamu iliyopo kwenye ubongo,
hupeleka ishara kwenye mishipa ya uti wa mgongo, ambayo nayo hupeleka taarifa
hadi kwenye mishipa ya uume. Taarifa inapofika kwenye mishipa ya uume huifanya
mishipa hiyo ku-relax na hatimaye kufanya mishipa ya ateri kufunguka na
kutanuka. Mishipa ya ateri inapo tanuka na kufunguka, huruhusu damu kuingia kwa
kasi ndani ya mishipa ya uume na hivyo kuufanya huume kusimama.
Ni muhimu
kujua kuwa, mishipa ya uume inapo relax hupelekea kuisukuma na hatimaye kuiziba
mishipa ya vena iliyo karibu na mishipa ya uume na hivyo kuiondolea uwezo wa
kunyonya damu iliyomo ndani ya mishipa ya uume na kuipeleka sehemu nyingine za
mwili.
N.B: Kazi
kubwa ya mishipa ya vena ni kunyonya damu iliyomo ndani ya mishipa ya uume na
kuipeleka katika sehemu nyingine za mwili. Au kwa lugha nyingine unaweza
kusema, kazi kubwa ya mishipa ya vena ni kuhakikisha hakuna damu kwenye mishipa
ya uume.
2. HATUA YA
PILI :
DAMU
KUENDELEA KUHIFADHIWA KATIKA UUME WAKATI UUME UKIWA UMESIMAMA NA HIVYO KUUFANYA
UUME UENDELEE KUDUMU KATIKA TENDO LA NDOA KWA MUDA MREFU.
Uume ulio
simama, ili uendelee kusimama, ni lazima mishipa ya vena isiwe na uwezo wa
kunyonya damu kutoka katika mishipa ya uume na kuipeleka katika sehemu
nyinginezo za mwili. .
Mishipa ya
Vena ndio inayo husika na kunyonya damu kutoka kwenye mishipa ya uume na
kupeleka sehemu nyingine za mwili. Ili uume uendelee kusimama lazima mishipa
hii ya vena iwe imezibwa. Ili iweze kuzibwa ni lazima misuli laini ya kwenye
uume iwe - ime relax na hivyo kuifanya mishipa ya vena kushindwa ku nyonya damu
kutoka kwenye uume.
Endapo
mishipa ya vena itazibuka , basi itanyonya na kutoa damu yote kutoka kwenye
mishipa ya uume uliosimama na kuipeleka sehemu nyinginezo za mwili na hatimaye
uume huo ulio simama na utasinyaa mara moja.
JINSI UUME
UNAVYO SIMAMA NA KUSISIMKA.
Tumeisha
zifahamu hatua mbili muhimu katika kusimama kwa uume
Jinsi Uume
unavyo simama: Katika uume kuna chemba yenye mishipa laini sana, ambayo ndio
huufanya uume kusimama.
Mishipa hii
ipo kama sponji hivyo huweza kunyauka na kutanuka.
Damu
inapoingia ndani ya mishipa hii huufanya uume kusimama na kuwa mgumu kama
msumari.
Damu
inapoendelea kuhifadhiwa ndani ya mishipa hii wakati wa tendo la ndoa, huufanya
uume uendelee kusimama.
Mwanaume
unapo patwa na wazo la kufanya tendo la ndoa, mishipa ya fahamu iliyo kwenye
ubongo hupeleka ishara kwenye uti wa mgongo, ambao nao hufikisha taarifa kwenye
mishipa ya uume.
Taarifa
ikisha fika kwenye mishipa ya uume, huifanya mishipa ya uume ku-relax na
mishipa ya uume inapo relax, hufanya mambo makuu mawili;
i. Kwanza
hufanya mishipa ya ateri kufunguka na hivyo damu kutiririka kwa kasi sana
kuingia kwenye mishipa ya uume
( Mishipa ya
ateri ndio inayo tumika kama njia ya kuingiza damu kwenye uume. Bila mishipa ya
ateri imara na yenye afya, damu haiwezi kuingia kwenye mishipa ya uume, na damu
isipoweza kuingia kwenye mishipa ya uume, basi uume hauwezi kusimama )
ii.Pili
huibana mishipa ya vena na hivyo kuizuia kunyonya damu kutoka kwenye uume na
kuipeleka kwenye sehemu nyingine za mwili. Matokeo yake kuufanya uume uendelee
kusimama kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa.
Kumbuka
,kazi kubwa ya mishipa ya neva iliyo karibu na mishipa ya uume, ni kunyonya
damu kutoka ndani ya mishipa ya uume na kuipeleka kwenye sehemu nyingine za
mwili. Kwa lugha nyingine, kazi kubwa ya mishipa ya vena ni kuhakikisha hakuna
damu kwenye mishipa ya uume ulio simama.
Kadri damu
inavyo zidi kuingia ndani ya mishipa ya uume, ndivyo uume unavyo zidi kuwa
mgumu na kukakamaa.
Na kadri
damu inavyo hifadhiwa ndani ya mishipa ya uume, ndivyo uume unavyo endelea
kusimama wakati wa tendo la ndoa kwa muda mrefu.
Baada ya
kumaliza kufanya tendo la ndoa,mishipa ya uume inarudi katika hali yake ya
kawaida (inanyauka ), ikisha nyauka, mishipa ya ateri inanyauka pia, vena
zinafunguka na kunyonya damu katika mishipa ya uume na kuirejesha katika sehemu
nyinginezo za mwili na hatimaye uume kurudi katika hali ya kawaida ( Flaccid ).
Hali hii
itaendelea kujirudia kwa kadri utakavyo kuwa ukiendelea kufanya tendo la ndoa.
Mambo Muhimu
Katika Kuufanya Uume Usimame na Kuendelea kudumu katika kusimama kwa muda mrefu
wakati wa tendo la ndoa.
Ili uume
uweze kusimama imara kama msumari na uendelee kusimama imara na kwa muda mrefu
wakati wa tendo la ndoa, ni lazima mambo yafuatayo yawepo.
1. Mishipa
ya uume iliyo imara na yenye afya njema.
2. Mfumo
mzuri wa damu katika mwili mzima.
3.Mtiririko
imara wa damu kuingia na kutoka ndani ya mishipa ya uume.
4.
Ushirikiano wenye afya kati ya mishipa ya fahamu ya kwenye ubongo (nerves),
mishipa ya kwenye uti wa mgongo pamoja na mishipa ya kwenye uume.
Ili mwanaume
aweze kuwa imara katika tendo la ndoa, ni lazima mambo manne niliyo yataja hapo
juu yawe sawa sawa bila hitilafu yoyote. Kinyume chake, mwanaume hawezi kuwa na
nguvu za kiume.
MAMBO YANAYO
SABABISHA UKOSEFU/UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Tumeshajua
nguvu za kiume ni nini, jinsi uume unavyo simama, hatua za kusimama kwa uume,
pamoja na mambo yanayo fanya uume uweze kusimama na kuwa na uwezo wa kuendelea
kusimama wakati wa tendo la ndoa.
Ni vyema
tukajua mambo yanayo sababisha kushindwa kusimama kwa uume, mambo yanayo
sababisha uume ushindwe kuendelea kusimama kwa muda mrefu wakati wa tendo la
ndoa pamoja na mambo yanayo fanya mtu ashindwe kurudia tendo la ndoa.
Yafuatayo ni
mambo yanayo sababisha ukosefu wa nguvu za kiume.
1. MAGONJWA
YANAYO SHAMBULIA MFUMO WA DAMU PAMOJA NA MISHIPA YA DAMU.
Damu ndio
nishati inayo wezesha kusimama kwa uume na kuufanya kuwa mgumu na imara kama
msumari.
Damu ndio
nishati inayo weza kuufanya uume uendelee kusimama wakati wa tendo la ndoa.
Damu ndio
nishati inayo upa uume uimara na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara
moja.
Hivyo basi
ili uume uweze kuwa imara na wenye nguvu, pamoja na kuwa na uwezo wa kumudu na
kustahimili tendo la ndoa wakati wowote , basi ni lazima mwanaume awe na mfumo
imara wa damu utakao ruhusu kutiririka kwa damu kwenda katika sehemu mbalimbali
za mwili ikiwamo uume.
Ili mfumo
uweze kuwa imara ni lazima mhusika awe na damu ya kutosha, na pili awe na
mishipa ya damu yenye afya.
Katika mwili
wa mwanadamu,kuna mishipa inayo tumika kusafirisha damu kutoka katika sehemu
moja ya mwili kwenda katika sehemu nyingine ya mwili ikiwemo uume. Mishipa hiyo
ni kama vile vena (veins), atery ( ateri) na capillary ( kapilari )
Mishipa hii
ya damu inapaswa kuwa imara na yenye afya njema wakati wote. Mishipa hii
ikipatwa na hitilifu, basi itazuia kusafirishwa kwa damu katika sehemu
mbalimbali za mwili wa mwanadamu na hatimaye kufanya suala la kuwa na nguvu za
kiume kwa mhusika kuwa ugumu kwa sababu ya kushindwa kupeleka damu kwenye
mishipa ya uume.
Magonjwa
kwenye mishipa ya damu huzuia kutirika kwa damu kwenye ogani muhimu kama vile
moyo, ubongo na figo.
VIASHIRIA
VYA MAGONJWA KWENYE MISHIPA YA DAMU.
Utajuaje
kwamba una magonjwa kwenye mishipa yako ya damu ?
Ukiwa una
matatizo yafuatayo ya kiafya, ni ishara kwamba, una magonjwa kwenye mishipa
yako ya damu:
1. Kolestrol
( Ama lehemu kwenye damu )
Kolestrol
nyingi kwenye damu, huzuia kutiririka kwa damu. Kolestrol ikizidi kwenye damu,
hupelekea kuziba mishipa ya ateri ambayo kazi yake ni kupeleka damu kwenye
uume. Matokeo yake ni mhusika kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume wake
barabara kwa sababu uume hauwezi kusimama bila damu kuingia ndani ya mishipa ya
uume.
Hivyo basi
pamoja na dawa ya nguvu za kiume, yakupasa kutibu kolestrol. Unaweza kuondoa
kolestrol kwenye damu kwa kutumia dawa mbali za asili kama vile
mdalasini,uwatu, habbat sodah etc. Jinsi ya kujitibu kolestrol kwa kutumia dawa
asilia tafadhali tembelea
http://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/jitibu-kisukari-presha-shinikizo-la.html
2. Shinikizo
Kubwa la Damu
Shinikizo
Kuu la Damu husababisha mishipa ya ateri ambayo hutiririsha damu iingiayo
kwenye uume kuziba na kushindwa kutanuka kwa kiwango inachotakiwa kutanuka.
Pia huifanya
mishipa laini katika uume kushindwa ku-relax na hivyo kushindwa kuizuia mishipa
ya vena ya kunyonya damu kutoka kwenye mishipa ya uume na kuipeleka kwenye maeneo
mengineyo ya mwilini.
Matokeo yake
kunakuwa hakuna kiasi cha kutosha cha damu iingiayo kwenye uume na hivyo
kufanya uume ushindwe kusimama.
Vile vile
hata kiasi kidogo cha damu kinacho ingia kwenye uume, kinashindwa kuendelea
kuhifadhiwa ndani ya uume wakati uume ukiwa umesimama, na matokeo yake ni uume
kusinyaa ndani ya kipindi kifupi sana tangu usimame.
Pamoja na
kutumia dawa ya nguvu za kiume, unapaswa pia kutumia dawa asilia kujitibu
tatizo la shinikizo kuu la damu.
Kufahamu
jinsi ya kujitibu tatizo la shinikizo la damu kwa njia ya asilia, tembelea :
http://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/jitibu-kisukari-presha-shinikizo-la.html
3. Ugonjwa
wa kisukari :
Ugonjwa wa
kisukari ni miongoni mwa vyanzo vikuu vya tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume.
Kusimama kwa uume kunategemeana na kutiririka kwa damu mwilini. Kisukari
huathiri mishipa ya damu pamoja na usambazaji wa damu kwenye ogani muhimu
mwilini kama vile moyo, ubongo, figo na uume.
Kiukweli,
mwanaume mwenye kisukari yupo katika risk kubwa ya kupatwa na tatizo la ukosefu
wa nguvu za kiume,m tena katika kiwango kikubwa sana.
Unashauriwa
pamoja na kutumia dawa ya nguvu za kiume, tumia pamoja na dawa mbalimbali za
asili kwa ajili ya kubalance sukari yako mwilini.
Zipo dawa
mbalimbali za asili zinazo saidia kubalance kiwango cha sukari mwilini. Dwa
hizo ni pamoja na mdalasini, unga wa uwatu, mbegu za uwatu, manjano, majani ya
manjano,mbegu za katani, nakadhalika. Namna ya kutumia dawa hizo kujitibu
tatizo la sukari, tafadhali tembelea :http://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/jitibu-kisukari-presha-shinikizo-la.html
4. Magonjwa
ya figo
Tatizo la
ugonjwa wa figo huathiri vitu vingi ambavyo ni muhimu sana katika kuufanya uume
uweze kusimama na kuendelea kudumu katika kusimama.
Tatizo la
figo, huathiri homoni, huathiri kutiririka kwa damu kwenda kwenye mishipa ya
uume. Huathiri mfumo wa mishipa ya neva pamoja na nishati ya mwili mzima.
Pamoja na
dawa ya kutibu tatizo la nguvu za kiume, unapaswa pia, kutibu tatizo la figo.
Kufahamu jinsi ya kujitibu magonjwa mbalimbali ya figo kwa kutumia dawa
mbalimbali asilia, tembelea
:http://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/jitibu-kisukari-presha-shinikizo-la.html
5. Ugonjwa
wa moyo
Moyo ndio
supplier mkubwa wa damu katika sehemu mbalimbali za mwili. Ugonjwa wa moyo hupunguza
uwezo wa moyo kusambaza damu kwenye mishipa mbalimbali ya damu na hivyo
kuathiri utendaji kazi wa mishipa ya damu kama vile ateri na vena. Matokeo yake
ni mishipa hiyo kushindwa kupeleka damu ya kutosha katika uume pamoja na
kushindwa kuifanya mishipa ya uume kurelax na matokeo yake,. Ukosefu wa nguvu
za kiume. Hivyo basi, pamoja na dawa ya nguvu za kiume, unapaswa pia kutibu
tatizo la moyo. Kufahamu jinsi unavyo weza kutibu ugonjwa wa moyo kwa dawa
asilia, tembelea :
http://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/jitibu-kisukari-presha-shinikizo-la.html
6. Kupwaya
kwa mishipa ya vena.
Kazi kubwa
ya mishipa ya vena kwenye uume kunyonya damu iliyomo ndani ya mishipa ya uume
na kuipeleka katika sehemu nyingine za mwili. Mishipa ya vena iliyopo karibu na
uume kazi yake kubwa ni kuhakikisha hakuna damu yoyote kwenye mishipa ya uume.
( KUMBUKA KUWA DAMU NDIO HUFANYA UUMU USIMAME, HIVYO CHOCHOTE KILE KITAKACHO
FANYA DAMU ISIKAE NDANI YA MISHIPA YA UUME , KITAFANYA UUME USINYAE )
Ili uume
uendelee kusimama ni lazima, mishipa ya vena isiwe na uwezo wa kunyonya damu
kutoka kwenye mishipa ya uume kupeleka nje ya mishipa ya uume.
Na ili
mishipa ya vena isiwe na uwezo wa kunyonya damu kutoka kwenye mishipa ya uume
ulio simama na kuipeleka kwenye sehemu nyingine za mwili, ni lazima mishipa ya
uume iwe imara na thabiti isiyo na hitilafu yoyote ile.
Mishipa ya
vena ikipwaya, mwanaume hutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume wako, na ikitokea
umefanikiwa kuusimamisha basi utasimama ukiwa legelege sana na utasinyaa ndani
ya muda mfupi sana, kwa sababu damu iliyo ingia ndani ya uume wako na kuufanya
usimame, itanyonywa ndani ya muda mfupi sana na kutolewa nje ya mishipa ya uume
na hivyo kuufanya uume wako usimame.
Tatizo la
kupwaya kwa mishipa ya vena linasababishwa na kupiga punyeto kwa muda mrefu
pamoja na ugonjwa wa kisukari.
KUPIGA
PUNYETO KWA MUDA MREFU: Kupiga punyeto kwa muda mrefu ni moja kati ya vyanzo
vikuu vya tatizo la la ukosefu wa nguvu za kiume. Asilimia kubwa ya vijana
wenye tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume, linasababishwa na upigaji wa punyeto
kwa muda mrefu.
JINSI
PUNYETO INAVYO SABABISHA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME.
Unapopiga
punyeto unakuwa unaiminya mishipa ya uume ambayo ndio inaufanya uume usimame.
Matokeo yake
unaifanya mishipa hiyo ilegee na kutokuwa na uwezo wa kusimama tena.
Mishipa ya
uume iliyo legea kutokana na upigaji punyeto, huleta madhara yafuatayo :
i. Huondoa
uwezo wa mishipa ya uume kurelax.
( Unapopata
wazo la kufanya tendo la ndoa, mishipa ya uume ina relax , mishipa iki relax
husababisha mishipa ya ateri kupanuka na kuruhusu damu kingie ndani ya mishipa
ya uume na hatimaye kuufanya uume usimame na kuwa mgumu)
ii.Mishipa
ya kiume ikishindwa ku relax husababisha mishipa ya ateri kuziba
iii. Mishipa
ya ateri ikiziba, damu haiwezi kutiririka kuingia kwenye mishipa ya uume, na
hata ikitokea damu imeingia ndani ya mishipa ya uume basi huingia kiasi kidogo
sana tena kwa presha ndogo sana hivyo basi hata kama uume utasimama basi
utasimama ukiwa legelege sana
iv. Mishipa
ya uume ikishindwa kurelax basi haitakuwa na uwezo wa kuipush na kuiziba
mishipa ya vena ambayo ndio hunyonya damu kutoka kwenye mishipa ya uume ulio
simama.
Matokeo yake
basi, damu kidogo iliyo ingia ndani ya mishipa ya uume na kuufanya uume
kusimama, hunyonywa na kutolewa nje ya mishipa ya uume ndani ya sekunde chache
sana na hivyo kuufanya uume usinyae ndani ya muda mfupi sana.
v. Mishipa
ya uume kulegea
vi. Uume
kurudi ndani na kusinyaa na kuwa kama uume wa mtoto
6. Tatizo la
unene kupita kiasi : Tatizo la unene na uzito kupita kiasi ni miongoni mwa
mambo yanayo sababisha upungufu wa nguvu za kiume. Unene kupita kiasi humuweka
mtu katika hatari ya kupatwa na magonjwa kama vile kisukari, presha, moyo na
shinikizo kuu la damu.
Na magonjwa
ya kisukari, moyo,presha na shinikizo la damu husababisha upungufu na ukosefu
wa nguvu za kiume, na hivyo kumuweka muhusika katika hatari kuu ya kupatwa na
tatizo la ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume.
Hivyo basi
kwa wewe mwenye tatizo la unene na uzito kupita kiasi , pamoja na kutumia tiba
ya nguvu za kiume, ni vyema ukafanya na mpango wa kupunguza unene na uzito
wako.
JINSI YA
KUPUNGUZA UZITO NA UNENE KWA KUTUMIA TIBA ASILIA, TAFADHALI TEMBELEA:
http://neemaherbalist.blogspot.com/2015/06/fahamu-jinsi-kitambi-kinavyo-patikana.html
7. Matatizo
Katika mfumo wa Ubongo
Uume hauwezi
kusimama bila ya kuwa na ushirikiano na ubongo. Ili mtu uume uweze kusimama,
mtu lazima apate wazo la kufanya tendo la ndoa (UBONGO UNA HUSIKA HAPO ),
akishapata wazo, ubungo hupeleka ishara kwenye mishipa ya fahamu iliyopo katika
uti wa mgongo ambayo nayo hupeleka taarifa kwenye mishipa ya uume then uume
usimama.
Hivyo basi
ili mtu aweze kuwa na uwezo wa kusimamisha uume wake ni lazima kuwa na
mawasiliano mazuri na imara kati ya mishipa ya fahamu ( ubongo ), mishipa ya
kwenye uti wa mgongo na mishipa ya kwenye uume. Bila ushirikiano kati ya vitu
hivyo vitatu, uume hauwezi kusimama.
Magonjwa
yanayoweza kuathiri ushirikiano kati ya mishipa ya ubongo na mishipa ya uume,
yanaweza kusababisha kushindwa kusimama kwa uume.
Magonjwa
hayo ni pamoja na kiharusi,kupoteza kumbukumbu ( Alzheimer ), multiple
sclerosis pamoja na ugonjwa wa Parkinson.
Ni vyema
mgonjwa akatibiwa kwanza magonjwa hayo kabla ya kuanza kutumia dawa ya nguvu za
kiume. Kufahamu jinsi ya kujitibu magonjwa tajwa hapo juu kwa njia
asilia,tafadhali tembelea
Mambo
mengine yanayo sababisha ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume, ni pamoja na
maumivu & majeraha kwenye uti wa mgongo, chango la kiume , ngiri na
matatizo katika homoni.
VIASHRIA VYA
MTU MWENYE TATIZO LA UKOSEFU/UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Mtu mwenye
tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume huwa na dalili zifuatazo ;
1. Kushindwa
kabisa kusimamisha uume wake
2. Uume
kusimama ukiwa legelege
3. Kuwahi
kumaliza tendo la ndoa
4. Mwanaume
kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa katika baadhi ya staili ( Mara
nyingi mwanaume huyu huwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa staili moja tu ).
Hapa mwanaume anakuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa staili ya “
missionary” pekee. Ikibadilishwa staili, mwanaume anakuwa hana tena uwezo wa
kusimamisha uume wake japo katika hali ya u lege lege
5. Uume
kutokuwa na uwezo wa kusimama wenyewe bila kushikwashikwa ama kutomaswa kwa
muda mrefu.
6. Uume
kusinyaa ukiwa ndani ya mwanamke.
7. Uume kusinyaa,
pindi inapotokea activity yoyote ya kiungo ama ogani nyingine ya mwanaume
wakati wa tendo la ndoa. Kwa mfano, wakati wa tendo la ndoa, ikitokea mwanaume
amekohoa au kupiga chafya, uume nao unasinyaa.
8. Uume
kusinyaa mara tu baada ya kutolewa ndani ya uke ( Kwa mfano kama unafanya tendo
la ndoa, halafu uume ukatoka nje, kitendo cha kuushika kuurudisha ndani, tayari
una sinyaa )
9. Kutokuwa
na uwezo wa kurudia tendo la ndoa.
10. Kupatwa
na maumivu wakati wa tendo la ndoa.
VIASHIRIA
VYA MWANAUME ASIYE NA TATIZO LA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME.
Mwanaume
asiye na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume, huonyesha ishara zifuatazo ;
i.Uume
husimama ukiwa imara kama msumari.
ii.Hukaa
kifuani kwa muda mrefu ( Wastani ni kati ya dakika 20 hadi 45 )
iii.Huweza
kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara tatu bila misuli ya uume kuchoka.
iv.Huweza
kufanya tendo la ndoa kwa staili yoyote ile
v.Uume
husimama wenyewe bila kushikwa shikwa wala kuwa stimulated kwa namna yoyote ile
vi.Kwa ufupi
anakuwa na uwezo wa kufanya na kukamilisha tendo la ndoa kwa uukamilifu mkubwa.
TIBA ASILIA
YA TATIZO LA UKOSEFU/UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Dawa asilia
ya JIKO ni dawa asilia inayo tibu na kuponyesha kabisa tatizo la ukosefu wa
nguvu za kiume.
MFUMO WA
DAWA
Dozi ya dawa
ya JIKO ni mkusanyiko wa dawa nne asilia zenye uwezo mkubwa sana katika kutibu
na kuponyesha kabisa tatizo la ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume.
Dawa hizi
zipo katika mfumo wa MIZIZI na UNGA UNGA.
JINSI DOZI
YA DAWA YA JIKO INAVYO FANYA KAZI.
Dozi ya dawa
ya JIKO inafanya kazi zifuatazo katika mwili wa mwanadamu.
KAZI INAYO
FANYWA NA DAWA YA JIKO .
Dawa ya JIKO
inasadia katika mambo makuu yafuatayo:
1. Inasaidia
kuimarisha mishipa ya uume ulio legea na hivyo kuufanya uume uwe na uwezo wa
kusimama barabara kama msumari wakati wa tendo la ndoa.
2. Inasaidia
kusafisha mishipa ya kwenye uume na hivyo kusaidia katika kuongeza kasi ya
msukumo wa damu kwenye mishipa ya kwenye uume.
3. Huongeza
damu mwilini
4. Husaidia
kuongeza msukumo (pressure) wa damu kwenye mishipa ya uume na hivyo kuufanya
uume kuwa na nguvu za ajabu.
5. Huipa
misuli ya uume uwezo wa kuziba wa kuizuia mishipa ya vena kunyonya damu kwenye mishipa
ya uume wakati wa tendo la ndoa na matokeo yake kukupa uwezo wa kufanya tendo
la ndoa kwa muda mrefu
( Kuzuia
hali ya kufika kileleni haraka )
6. Husaidia
kurelax mind na hivyo kumfanya mtu awe na uwezo wa kuconcentrate wakati wa
tendo la ndoa bila kuathiriwa na msongo wa mawazo
7.
Hurejesha, kuimarisha na kuboresha ushirikiano kati ya mishipa ya fahamu ya
kwenye ubongo (nerves), mishipa ya kwenye uti wa mgongo pamoja na mishipa ya
kwenye uume
8. Humfanya
mwanaume awe na uwezo wa kurudia tendo la ndoa mara nyingi zaidi bila kuchoka.
9. Husaidia
kuongeza hamu ya tendo la ndoa.10. Husaidia kuurudisha nje uume ulio ingia
ndani.
11. Husaidia
kutibu side effects za punyeto na matumizi ya muda mrefu ya dawa kali za (za
kizungu ) za kuongeza nguvu za kiume.
12. Husaidia
kutibu chango la kiume.
13.Dawa hii
huwasaidia hata wanawake wanao sumbuliwa na tatizo la ukosefu wa hamu ya tendo
la ndoa.
BEI YA DAWA:
Dozi ya dawa ya JIKO inapatikana kwa gharama ya SHILINGI ELFU THEMANINI TU
(Tshs.80,000/=)
MAHALI
TUNAPOPATIKANA :
Dozi ya dawa
ya JIKO, inatolewa na duka la dawa asilia la NEEMA
HERBALIST
& NUTRITIONAL FOODS CLINIC. Tunapatikana jijini DAR ES SALAAM, katika eneo
la UBUNGO karibu na SHULE YA MSINGI UNGUNGO NATIONAL HOUSING NYUMA YA JENGO LA
UBUNGO PLAZA.
Kwa wasio
weza kufika ofisini kwetu, tunatoa huduma ya kuwapelekea dawa mahali walipo (
DELIVERY )
Kwa wateja
waliopo nje ya DAR ES SALAAM, watatumiwa dawa kwa njia ya mabasi, wateja
waliopo Zanzibar, watatumiwa dawa kwa njia ya boti na kwa wateja waliopo Ulaya,
America na Arabuni, watatumiwa dawa kwa njia ya DHL au POSTA.
WASILIANA
NASI KWA SIMU NAMBA
0766 53 83
84.
0 Comments