VIINGILIO VYA YANGA V MAMELODI KIMATAIFA,
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa unawajali mashabiki na
hauna tamaa ya fedha hivyo wameamua kupunguza viingilio kwenye kila sehemu huku
wakiondoa kabisa upande wa mzunguko.
Yanga inatarajiwa kuwa na kazi kusaka ushindi Machi 30
mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini
ambapo tayari maandalizi yameanza kufanyika.
Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema:”Wote tunakubaliana
mechi ya Mamelodi ni mechi kubwa zaidi kwenye robo fainali ya CAFCL msimu huu
na Viingilio ni kama vifuatavyo:


0 Comments