Kabla ya Jini Kabula kuwa katika matatizo aliwahi kunukuliwa
akisema aliwahi kuwa mapenzini na staa wa soka wa Simba SC, Haruna Niyonzima na
kuzua mzozo kwenye mitandao ya kijamii kwa kuwa Niyonzima kwenye ndoa hivyo
kumsababishia matatizo ndani ya familia yake.
Singida Blog na Laurentcomputercentre.com zimempata Haruna
Niyonzima kwenye mazungumzo yake na kufunguka kila kitu akisema hakuwahi kuwa
mapenzini na msichana huyo licha ya kwamba kuzungumza kwenye vyombo vya habari.
Aidha, kuhusu mkewe kulisikia hilo alisema haikuwa rahisi
kuchukulia kawaida ingawa ni muelewa na alijaribu kuelewa jambo hilo.


0 Comments