Kwanini Yanga Africa vs Mamelodi Sundown inaongelewa zaidi
kuliko Simba vs Al Ahly?
✍️Wanakutana kwa mara ya kwanza
baada ya Miaka 23
✍️ Robo Fainali ya kwanza kwa Yanga
Africa katika historia ya CAF champions league
✍️ Mamelodi Sundown Wana mvuto zaidi Africa kuliko team yyote


0 Comments