Follow us

UAMSHO WA MTU BINAFSI

Tangazo

 


UAMSHO WA MTU BINAFSI

uchawikuingia Kanisani.

Dalili zakifo cha kiroho ni:

1) Kukosabubujiko la ROHO MTAKATIFU ndani ya mtu binafsi.

2) Kiwangocha kumtangaza YESU kinashuka kwa mtu binafsi.

3) Kukosamuda binafsi na MUNGU. Ebrania 10:25

4) Kuinukaroho ya ubinafsi.

5) Neno laMungu linapoteza maana kwa mtu husika. 1 Korintho 1:18-19

6) Kuingiakwa hali ya uvugu vugu Kanisani. Yohana 4:14 -16

7) Wimbikubwa la upotofu. Yaani wahubiri wa uongo. Kolosai 2:8,Efeso 5:6. Mahubiriyanakuwa sio kwa lengo la kumuinua Kristo bali ni juu ya utukufu wa mtubinafsi.

8) roho yakutanga tanga kwa mpendwa. Mkristo anaanza kupenda kutanga tanga na hii nikwasababu watu hupenda mafanikio ya mwili na sio mafanikio ya kiroho. Jinsi yakupima mahali au kanisa kama lina Mungu wa kweli au lah;

Je huyo mchungaji ana mzungumziaje YESU KRISTO au huko wanapoenda wanamzungumziaje YESU KRISTO?

Je wanazungumziaje maisha yao binafsi hasa kuhusu dhambi?. Wana kemea dhambi?

Je wanachukuliaje au wanaongeleaje kuhusu kurudi kwa YESU?

Wanachukulia kwa uzito gani kurudi kwa YESU?

9) Kupoteaujasiri wa wokovu na kuhudumu katika nyumba ya MUNGU. Ebrania 10:35.

Dhambiinapoteza ujasiri wa wokovu. Dhambi inapoteza ujasiri wa kuhudumu na kusimamamadhabahuni.

10) Kupoteakwa mamlaka ya ki MUNGU kwa mtu binafsi. Mamlaka ya ki MUNGU ikipotea na kirohocha mtu kinashuka. Mamlaka ikipotea, mtu anakuwa ana compromise na dunia.Anakuwa hana ujasiri wa kukataa jambo baya au yasiyo sahihi mbele za MUNGU.

11) Kupotezakwa roho ya unyeyekevu na kuinuka roho ya kiburi ndani ya maisha ya mwamini.Ezekiel 16:1 - 14, Kolosai 3:12

Karamaambazo mtu kapewa na MUNGU katika utumishi, mtu huinuka na kuwa na kiburi nazomfano uimbaji, mziki au huduma nyengine. Mtu unapoinuliwa au huduma inapopandalazima mtu huyo azidishe unyenyekevu. Yesu aliweza kutembea juu ya maji lakinihakumnyima Petro alipoomba na yeye kutembea juu ya maji.

12) roho yakusahau mahali BWANA alipo kutoa. Ezekiel 16, Efeso 2:1

13) Kufanyakazi ya MUNGU kwa mazoea. Mtu kuona hana haja na kujifanya anajua zaidi katikahali ya kuleta majigambo. Mtu kutopenda kujishusha na kusema yupo level ya juusana ya ki roho na kuwa hana haja ya kujifunza au kujishuhulisha na mamboyanayoonekana kuwa ni madogo.

14) Kuhojina ku challenge mamlaka ya Kanisa au mamlaka ya wasimamizi wake. Mfanokumkebehi, kumsengenya au kumsema mchungaji Kanisani.

Wapo watuwaliofanya hivyo na walipata madhara kwani MUNGU aliwashuhulikia kwa kuchallenge, kukebehi, kumdharau mtumishi wake aliyemwita. MUNGU anaheshimuwachungaji na watu walioitwa kwa ajili ya utumishi wake madhabahuni.

Wapo watu wanasema mchungaji hana haja ya kujua maisha yao binafsi, mfano ushauri juu ya maisha ya uhusiano, uchumi,n.k. Mchungaji ana mamlaka ya ki MUNGU hata katika maisha yako binafsi, inabidi kumheshimu.

 

MSAADA WA MAOMBI NA MAOMBEZI AU MSAADA WA KIROHO

WASILIANA NA MCHUNGAJI LAURENT MPOMA

HUDUMA YA NCHI YA UKOMBOZI MINISTRY

MWAJA KITOPE SINGIDA MJINI

0714890889

WHATSAP: 0762756542

MUNGU AKUSAIDIE SANA.

KARIBU KWENYE KONGAMANO LA MAOMBI YA UAMSHO

IJUMAA JUMAMOSI NA JUMAPILI: TAREHE 1-3/3/2024

MHUDUMU NI MCHUNGAJI LAURENT MPOMA

KONGAMANO LITAFANYIKIA CHUO CHA UFUNDI LAURENT VTC SINGIDA.

WATU WA DINI ZOTE MNAKARIBISHWA.

Post a Comment

0 Comments