Follow us

SIMBA BADONNE KWA YANGA

Tangazo

 


SIMBA BADONNE KWA YANGA

IKIWA na idadi sawa ya michezo (15) Simba SC sasa imeachwa pointi nne dhidi ya vinara wa Ligi Kuu Yanga wenye pointi 40 katika msimamo wa ligi hiyo.

Idadi hiyoya pointi ni baada ya timu hiyo kushinda mchezo wake wa kiporo dhidi ya JKTTanzania bao 1-0 Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo uliopo Mbweni, Dar es Salaam leo.

Katikamchezo huo, bao la Simba lilifungwa na Clatous Chama dakika ya 36, baolililodumu kwa dakika zote 90 za mchezo.

Yanga ikiwakileleni na pointi 40, Simba wako nafasi pili wakiwa na pointi 36, Azam FCpointi 32 nafasi ya tatu wakiwa na mchezo mmoja mkononi.

BAADA YA MECHI KUISHA KOCHA WA SIMBA AMESEMA HAYA.

Post a Comment

0 Comments