Follow us

picha hapa ni waumini wa kanisa la FPCT - Karakana singida wakitoa shukrani kwa mchungaji baada ya ibada.

Tangazo





picha hapo juu ni wakina mama wa mungumaji singida wakimzawadia mchungaji zawadi baada ya kuhitimisha ibada ya leo.


picha hapo juu ni mashemasi wa kanisa la FPCT - Karakana singida wakimkabidhi mchungaji alipohitimisha semina ya sherehe ya kukumbuka kuzaliwa kwa yesu kristo.


hapo juu  ni wanakwaya wa (AVERSTES) Wavunaji wakipiga picha na viongozi wa kanisa la FPCT - karakana singida baada ya ibada.

Post a Comment

0 Comments