Follow us

MTAMBO WA MAJI WA RUVU CHINI WAPATA HITILAFU, WAKAZI WA DAR KUKOSA MAJI

Tangazo
Shirika la Maji Safu na Maji Chafu Dar (DAWASCO) limetoa taarifa kuhusu kutokea hitilafu katika mtambo wa kuzalisha maji wa Ruvu Chini tangu usiku wa Agosti, 24 jambo lililosababisha baadhi ya maeneo ya jiji la Dar kukosa huduma ya maji, taarifa zaidi isome hapa chini.


Post a Comment

0 Comments