Follow us

MWENYEKITIWA MASHABIKI WA SIMBA SC TANZANIA AMALIZA UTATA WA UBORA WA PACOME NA CHAMA.

Tangazo

 


MWENYEKITIWA MASHABIKI WA SIMBA SC TANZANIA AMALIZA UTATA WA UBORA WA PACOME NA CHAMA.

Mwenyekitiwa mashabiki wa club ya Simba Mchome Mapovu maarufu kama mzee wa VAR amemalizaile sintofahamu ya mjadala wa nani mchezaji bora kati ya PACOME ZOUZOUA naCLATOUS CHAMA na kumtaja PACOME kuwa ni zaidi ya CHAMA.

Mwenyekiti huyo alitumia uchambuzi kwa kufuata vigezo vigezo vyote vikiwepo assist namagoli kutoka katika ligi Kuu na mashindano ya kimataifa CAF.

Aidha, mwenyekiti huyo amewataka washabiki wenzake wa Simba wasiongozwe na mihemko na mahaba bali wanapaswa kusoma na kufuatilia kwa ndani suala la mpira badala ya kukurupuka.

Kuhusu sualala kupangiwa timu hatua ya robo fainali Mchome Mapovu ameomba wanasimbakujiandaa kukutana na Mamelod Sundowns au Petro Atletico na kufuta wazo lakukutana na Ahly kwa sababu timu hizi hukutana mara kwa mara.

Aidha Mwenyekiti huyo ameendelea kuchambua suala hili la CHAMA NA PACOME Kwa kauli hii >>> HAPA

Post a Comment

0 Comments