Follow us

MAAJABU KUMI(10) YA SOKA USIYOYAJUA

Tangazo

 


MAAJABU KUMI(10) YA SOKA USIYOYAJUA

1.Mwanasokamkongwe wa brazil pele, alijipatia jina hilo la utani lenye maana katika lughaya kibrazil na kireno “ miguu sita” (six feet),kutokana na kuwa na vidole sitakatika kila mguu.

2.Mwana sokaanakimbia kilomita zipatazo kumi (10) katika mchezo mmoja.

3.Mwanasokawa kibrazil, Ronaldinho ndio mfungaji anayekumbukwa zaidi kwa kufunga mabaomengi duniani, alifunga mabao 23 akiwa na umri wa miaka 13 tu.

4.Mnamo mwaka 1998 Radi iliua wachezaji wote kumi na moja (11) wa timu moja na kuacha wachezaji wa timu pinzani wakati wa mchezo nchini DRC na kudhuru watazamaji wapatao thelathini.

5.Mnamomwaka 1964 simu aliyopokea mwamuzi wa mchezo (refa) akiwa uwanjani huko nchiniPeru ilisababisha vurugu iliyopelekea watu mia tatu (300) kufariki.

6.Washabiki wa soka nchini Columbia waingia na jeneza uwanjani la mshabiki mwenzao aliyeuawa kwa kupigwa risasi siku ya kuwania kuingia fainali akiwa na umri wa miaka17. Washabiki hao waliingia nae siku ya fainali.

7.Mnamomwaka 1966 kombe la dunia liliibiwa na baadae mbwa akalipata siku chache kablaya mshindano hayo kuanza. Kombe la dunia kwa mara ya kwanza lilitengenezwa kwamakaratasi na kubadilishwa baada ya kuharibiwa na mvua kali iliyonyesha. Sikuhizi kombe hilo linatengenezwa na zahabu yenye uzito upatao kilo 4.97.

8.Katika kombe la dunia mwaka 1950, timu ya Soka ya India ilitaka kucheza peku, shirikisho la soka ulimwenguni (FIFA) likagoma. Timu hiyo ikasusia mashindano hayo!

9.Pelealipokwenda Nigeria kucheza soka katika mchezo wa hisani mnamo mwaka 1967,pande mbili zinapigana vita, zilikubaliana kusimamisha vita kwa muda wa masaa48.

10.MrtinhoEduardo Orige kutoka Brazil ndio mchezaji pekee kuchezea mpira kwa muda mrefuzaidi duniani! Alichezea mpira kwa muda wa masaa 19.5, alivunja record hiyomnamo mwaka 2003.

Post a Comment

0 Comments