Follow us

Wasanii waalikwa tamasha la muziki Morocco

Tangazo

 


Wasanii waalikwa tamasha la muziki Morocco

TAMASHA la Kimataifa la Muziki wa Afrika ‘Visa For Music’toleo la 11 linalotarajiwa kufanyika Novemba 20 hadi 23, 2024, katika jiji laRabat nchini Morocco limefungua dirisha la maombi kwa wasanii wanaotakakushiriki tamasha hilo kutoka nchi mbalimbali.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na waandaaji ‘Visa forMusic’.

‘’Tunatarajia wasanii watakaojitokeza wataonyesha ubunifumkubwa kuonyesha ukubwa wa muziki wao na kuimarisha uhusiano baina ya wasaniiduniani kote.

Wasanii watanzania pia wameshauruwa kutunia fursa hiyo kwalengo la kujitangaza, kutangaza muziki wao na kuitangaza nchi kwa ujumla kwakujisajili katika tamasha hilo ambapo mwisho wa kutuma maoni yabushiriki niMachi 18, 2024.’’

Dhima la Tamasha la Visa For Music kila mwaka ni kuibuawasanii wapya wenye vipaji ambao huwakutanisha na wasanii wenye majina makubwakwa lenho la kuwatengenezea njia za mafanikio kupiyia vipaji vya muzikiwanaofanya.

Post a Comment

0 Comments