Follow us

MSHAMBULIAJI WA KLABU YA SIMBA, JOHN BOCCO AMEANZA KUSOMEA KOZI YA UKOCHA.

Tangazo

 


Mshambuliaji wa Klabu ya Simba, John Bocco ameanza kusomea kozi ya kocha kwa ngazi ya awali inayoendeshwa na Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF) katika Makao Makuu ya Shirikisho hilo yaliyopo Karume jijini Dar es Salaam ikiwa ni miezi michache kabla ya Mkataba wake na Simba kumalizika mwishoni mwa Msimu huu.

Post a Comment

0 Comments