Follow us

BOSI SIMBA AMEWACHANA YANGA ISHU YA KUTINGA ROBO FAINALI

Tangazo

 


BOSI SIMBA AMEWACHANA YANGA ISHU YA KUTINGA ROBO FAINALI

YANGA imeandika rekodi ya kutinga hatua ya robo fainali Ligiya Mabingwa Afrika ikiwa na mchezo mmoja mkononi dhidi ya Al Ahly unaotarajiwakuchezwa Machi Mosi na tayari kikosi cha Yanga kimewasili nchini Misri kwaajili ya mchezo huo. Ahmed Ally Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simbaameweka wazi kuwa kutinga robo fainali kwa Yanga Mo anahusika.

Post a Comment

0 Comments