Follow us

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Morocco limeshinda…….

Tangazo

 

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Morocco limeshinda rufaa waliyokata dhidi ya Kocha wa Timu ya Taifa ya Morocco Walid Regragu (48) aliyekuwa amefungiwa michezo minne.

Kutokana na Uamuzi Shirikisho Barani Afrika kutengua adhabu hiyo, kocha huo atakuwa sehemu ya benchi la ufundi litakalo iongoza Moirocco hatua ya 16 bora dhidi ya Afrika Kusini Januari 30,2024.

Chanzo:@beinsports

Post a Comment

0 Comments