Mabao ya Liverpool yamefungwa na Dominik
Szoboszlai dakika ya 28, Curtis Jones dakika ya 56 na 84, Cody Gakpo dakika ya
71 na Mohamed Salah dakika ya 82, huku la West Ham likifungwa na Jarrod Bowen
dakika ya 77.
Sasa Liverpool itakutana na Fulham iliyoitoa
Everton juzi kwa penalti 7-6 baada ya sare ya 1-1, wakati Nusu nyingine ni katí
ya Chelsea na Middlesbrough.
Chelsea iliitoa Newcastle United kwa penalti 4-2 baada ya sare ya 1-1 na Middlesbrough iliitandika Port Vale 3-0 katika mechi za juzi za Robó Fainali ya michuano hiyo inayojulikana kama Carabao Cup.
0 Comments