Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa( Aliye vaa miwani) jana (Jumanne, Februari 13, 2018) amekabidhi
gari kwa Kamishna Generali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za
Kulevya Bw. Rogers Siyanga kwa ajili ya Mamlaka hiyo. Makabidhiao hayo
yamefanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
PICHA NA
OFISI YA WAZIRI MKUU
0 Comments