Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias
Andengenye amewaaapisha Makamishna wapya jana katika hafla fupi iliyofanyika
Makao makuu ya Jeshi hilo jijini Dar es salaam.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias
Andengenye, akimvisha cheo Kamishna wa Divisheni ya Operesheni Billy
Mwakatage,wakati wa hafla fupi ya kuapishwa iliyofanyika Makao Makuu ya Jeshi,
jijini Dar es Salaam.
Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji:
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias
Andengenye, akimvisha cheo Kamishna wa Divisheni ya Usalama dhidi ya Moto,
Jesuald Ikonko wakati wa hafla fupi ya kuapishwa iliyofanyika Makao Makuu ya
Jeshi, jijini Dar es Salaam.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias
Andengenye, akimsikiliza Msemaji wa Jeshi hilo Mrakibu Msaidizi Puyo
Nzalayaimisi,akitoa utambulisho mfupi wa Makamishna wakati wa hafla fupi ya
kuapishwa iliyofanyika Makao Makuu ya Jeshi, jijini Dar es Salaam.
Kamishna wa Divisheni ya Oparesheni wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji, Billy Mwakatage, akila kiapo cha Utii mbele yaKamishna Jenerali wa
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye,wakati wa hafla fupi ya
kuapishwa iliyofanyika Makao Makuu ya Jeshi, jijini Dar es Salaam.
Kamishna wa Divisheni ya Usalama dhidi ya Moto wa Jeshi la
Zimamoto na, Jesuald Ikonko, akila kiapo cha Utii mbele ya Kamishna Jenerali wa
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, wakati wa hafla fupi ya
kuapishwa iliyofanyika Makao Makuu ya Jeshi, jijini Dar es Salaam.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias
Andengenye(watatukulia), akiwa katika picha na Kamishna wa Utawala na Fedha,
Michael Shija (wapili kulia), Kamishna wa Oparesheni Billy Mwakatage (kushoto)
na Kamishna wa Usalama dhidi ya Moto, Jesuald Ikonko (kulia) wakati wa hafla
fupi ya kuapishwa iliyofanyika Makao Makuu ya Jeshi, jijini Dar es Salaam.
Na Laurent Mpoma
0 Comments