Tangazo
HAPA PICHA YA CHINI WATOTO WAKICHEZEA MAJI MACHAFU BAADA YA MUDA MFUPI MVUA KUNYESHA . HII NI HATARI SANA KWA AFYA ZA WATOTO HAWA- HII NI MKOANI SINGIDA NIMEKUTANA NAYO KATIKA PITAPITA YANGU KUKUPATIA HABARI NA MATUKIO HAPA SINGIDA MKOANI.
WAZAZI TUWE NA UANGALIFU KWA WATOTO WETU MAANA HII NI HATARI SANA . HII INAWEZA SABABISHA MAGONJWA YA MLIPUKO.
0 Comments