Follow us

KUELEKEA KARIAKOO DABI YANGA WAPIGA MKWARA

Tangazo

 


KUELEKEA KARIAKOO DABI YANGA WAPIGA MKWARA

 JOTO ya Kariakoo Dabi inazidi kupanda ambapo kuelekea mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Aprili 20 Yanga wameweka wazi kuwa wapo tayari kupata matokeo ndani ya uwanja

 

Post a Comment

0 Comments