Follow us

MRITHI WA MIKOBA YA BALEKE SIMBA AKINGIWA KIFUA.

Tangazo

 

MRITHI wa mikoba ya Jean Baleke ndani ya kikosi cha Simba Micheal Fredy amekingiwa kifua na Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Ahmed Ally kuhusu uwezo wake kwenye upande wa kufunga mabao ndani ya kikosi hicho.

Post a Comment

0 Comments