KIUNGO WAKAZI AMEWAINGIZA VITANI YANGA NA SIMBA.
INAELEZWA
kuwa kiungo wa kazi rasta Awesu Awesu yupo kwenye rada za mabosi wa Yanga ambao
wanahitaji saini yake pia anatajwa kuwindwa na Simba kwa ajili ya kuwa naye
wakati ujao kwenye eneo hilo nyota huyo ambaye yupo ndani ya KMC.
0 Comments