Follow us

AMEJUMUISHWA CHAMA KWENYE ORODHA YA WALIOPEWA MASHARTIMAZITO

Tangazo

AMEJUMUISHWA CHAMA KWENYE ORODHA YA WALIOPEWA MASHARTIMAZITO

MWAMBA wa Lusaka, Clatous Chama amejumuishwa kwenye orodha ya nyota wa Simba ambao wamepewa masharti mazito katika kutimiza majukumu yao ndani ya timu hiyo iliyo nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara

Post a Comment

0 Comments