FUNGUO ya Yanga katika ushindi wa
mabao 5-0 KMC ndani ya dakika 90 ilianzia kwa Aziz KI kiungo aliyecheza kwa
umakini mkubwa.
Yanga inewatungua mabao hayo ilikuwa
dakika ya 16 kupitia kwa beki Dickson Job aliyetupia bao lake la Kwanza msimu
wa 2013/24.
Aziz KI wa Yanga alitupia bao moja
dakika ya 59, Konkoni ilikuwa dakika ya 70 mzawa Mudhathir Yahya dakika ya 77
na Pacome alitupia dakika ya 80.
Ushindi huu ni mkubwa kwenye mechi za
ufunguzi msimu huu ndani ya ligi.
Ikumbukwe kwamba mabingwa watetezi wa
ligi ni Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi.
0 Comments