Follow us

ASEC MIMOSAS KUKUTANA NA BALAA LA SIMBA

Tangazo

 


ASEC MIMOSAS KUKUTANA NA BALAA LA SIMBA

WAPINZANI wa Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, ASEC Mimosas wanatarajiwa kukutana na balaa zito la wapinzani wao Simba ambao wameweka wazi kwamba wanahitaji ushindi kwenye mchezo huo wa hatua ya makundi unaotarajiwa kuchezwa Februari 23 nchini Ivory Coast.

Post a Comment

0 Comments